skip to main | skip to sidebar
dj sek

Social Icons

Pages

  • Home
  • IT page
  • Advertisement
  • Sports news
  • comedy zone
  • Contanct and where we are
  • JICHO LA CAMERA YANGU

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, April 25, 2014

Tatizo la kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation)... Chanzo Chake Na Tiba Soma Hapa


UKOSEFU wa choo ni tatizo sugu miongoni mwa watu wengi. Bila kujua kuwa ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka, watu wengi hupuuzia na kuona siyo tatizo kubwa na ni hali ya kawaida. Ukosefu wa choo wa muda mrefu, huwa ndiyo chanzo cha magonjwa mengine hatari.

Mtu anapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa, uchafu hujikusanya tumboni na unapokosa sehemu ya kutokea hukimbilia kwenye damu na kuingia kwenye mfumo mzima wa damu. Uchafu huo unapoingia kwenye mfumo wa damu huwa sumu na chanzo cha maradhi mengine ambayo hujitokeza baadae na kuanza kumuathiri mtu, bila kujua chanzo chake.

Kwa kawaida mtu unapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja kwa siku, kutegemeana na mlo wake wa kila siku, unapokosa choo kwa siku nzima ili hali una kula milo yote kwa siku, elewa una tatizo katika mfumo wako wa kusaga chakula hivyo unapaswa kuchukua hatua haraka.

MTU MWENYE TATIZO HILI ANA DALILI GANI?
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa choo huwa na dalili kadhaa, ikiwemo kutumia nguvu na muda mwingi wakati wa kujisadia haja kubwa. Pili ulimi wake huwa na utandu mweupe na hutoa harufu mbaya mdomoni. Mtu huyu pia hukosa hamu ya chakula na wakati wote tumbo huwa limejaa.

NINI HUSABABISHA TATIZO?
Tatizo la ukosefu wa choo husababishwa zaidi na ulaji mbaya wa vyakula, kuacha kula matunda na mboga na staili mbaya ya maisha ikiwa ni pamoja na kutokunywa maji ya kutosha kwa siku.

NINI KIFANYIKE?
Ili kuondoa tatizo kabla halijawa sugu, fanya moja miongoni mwa haya yafuatayo: Kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi mapema, kisha tembea tembea, baada ya muda utasikia haja ya kwenda msalani. Ili usifanye haraka na upate muda wa kutosha kujiandaa kwenda kazini, amka mapema zaidi. Kula kiasi cha kutosha cha salad ya mboga mboga na juisi ya matunda halisi asubuhi kabla ya kula chochote.

Kila siku kabla ya kwenda kulala, kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na kijiko kimoja cha asali. Kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na limau asubuhi na mapema kabla hujala kitu chochote. Kunywa ‘castor Oil’ muda mfupi kabla ya kwenda kulala. Ili kujiepusha kabisa na tatizo la ukosefu wa choo, jenga mazoea ya kunywa maji mengi, kula mboga na matunda kwa wingi kila siku na kuacha kabisa ulaji wa vyakula vilivyoondolewa virutubisho kama vile mikate myeupe, ugali wa unga mweupe, keki vyakula vyenye sukari nyingi na vyakula vingine vitamu.

Posted by dj sek at 1:55 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Please Share this Blog

Popular Posts

  • WATENDAJI DAR WAASWA KUSHIRIKIANA ILI KUWEKA JIJI KATIKA HALI YA USAFI
    Meneja Huduma Maji taka kutoka Dawasco, Mathias Mulagwande (mwenye suti ya damu ya mzee) akinyoosha kidole kumuonyesha Mkuu wa...
  • WATANGAZAJI WA LAKE FM MWANZA KUTAMBULISHWA KWA WANANZENGO KWENYE USIKU WA MSHIKE MSHIKE NA KHADIJA KOPA
    Usisahau kuhusu Show ya Usiku wa Mshike Mshike na Mfalme wa taarabu Afrka Mashariki na Kati iliyoandaliwa na 102.5 Lake Fm Mwanza. Ni...
  • NEW HIT SONG:::One Darren ft Diamond Platnamz - Ukisinzia DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA
  • ZISOME REKODI 20 ALIZOZIWEKA MOYES ALIPOKUWA MANCHESTER UNITED
      TIMELINE OF MOYES'S TENURE AT OLD TRAFFORD September 1 - United suffer first defeat under Moyes as Daniel Sturridge gives Liv...
  • HII NDIO HISTORIA YA BILIONEA DAVIS MOSHA TOKA TANZANIA
      Davis Mosha, founder, Delina Enter...
sek design. Powered by Blogger.

Followers

Social Icons

On Twitter

Tweets by @sekdavid

Total Pageviews

My Blog List

  • MICHUZI BLOG
    DKT. KIJAJI: TANAPA, TAWA NENDENI NA KASI YA RAIS SAMIA KUCHECHEMUA UTALII - Na Sixmund Begashe, Iringa WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, amezitaka taasisi za uhifadhi nchini, Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania ...
    2 hours ago
  • HABARI NA MATUKIO
    Vodacom yagawa makapu ya sikukuu Makambako, yaadhimisha miaka 25 ya huduma - *Meneja Mauzo wa Vodacom eneo la Makambako mkoani Njombe, Elly Mwambene (kulia), akikabidhi kapu la sikukuu kwa mmoja wa wateja wao Sigfrid Lomanus Chaula ...
    7 hours ago
  • Wazalendo 25 Blog
    Teknolojia : Msigwa Aipongeza TCRA kwa Kuwalea Mabloga (TBN) na Waandishi wa Mtandaoni - Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuonesha dhamira ya dhati ya kulea na kuwawezesha waandishi wa habari wa mitandaoni na mabloga, badala ya kuwashugh...
    22 hours ago
  • LUKAZA BLOG
    TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA MAKUBALIANO MAKUBWA YA UWEKEZAJI - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew L...
    1 week ago
  • FAHARI YA KUSINI MWA TANZANIA
    DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - Mhe. *Dkt. Samia Suluhu Hassan* ameapishwa rasmi kuwa *Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania* katika sherehe zilizofanyika leo, *Novemba 3, 2025*, kati...
    1 month ago
  • Rukwa Yetu
    KIWANJA CHA NDEGE SUMBAWANGA CHAFIKIA ASILIMIA SITINI YA UJENZI. - Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga umefikia asilimia sitini ya utekelezaji wake. Taarifa hiyo imetolewa mbele waandishi wa habari leo Machi 26, 20...
    8 months ago
  • Bongo Blogs - Blog ya Taifa
    Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi ya V - *1. VOA Sauti ya America * www.voaswahili.com *2. Vijimambo* lukemusicfactory.blogspot.com
    9 months ago
  • EMMANUEL SHILATU
    Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku - Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imefafanua kuhusu kuondoa Channel za Televisheni za ndani zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka Ving’amuzi vya Azam, Multic...
    7 years ago
  • LEWIS MBONDE BLOG
    BLOGU YA LEWIS MBONDE BLOG YASITISHA KUTOA MAUDHUI MTANDAONI - Kutokana na matakwa ya kisheria ya maudhiu ya kutoa huduma za kimtandao bila kuwa na leseni iliyotolewa na mamlaka ya udhibiti wa huduma za mawasiliano t...
    7 years ago
  • MATUKIO NA VIJANA
    - *MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu kwenye ukum...
    7 years ago
  • MC DR.CHENI
    Shilole Achora Tatoo ya Mwisho Yenye Jina la Mumewe - Mwanamuiki wa kike ambae pia ni mjasiriamali, Shiloleh ameonyesha tatoo aliyochora kwenye mwili wake yenye jina la mume wake mpendwa uchebe yenye jina ‘AS...
    7 years ago
  • SEIF KABELELE
    “AFRICAN BEAUTY” IS JUST ANOTHER ONE FROM DIAMOND PLATNUMZ & OMARION WHICH MIGHT BE THE JAM OF THE CONTINENT - The Tanzania Recording Artist Diamond Platnumz released “African Beauty” off his just premiered album “A Boy From Tandale”. The album features Top Artist...
    7 years ago
  • Hisia za Mwananchi
    NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2017 EXAMINATION RESULTS - NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA *PSLE-2017 EXAMINATION RESULTS* ------------------------------ ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOM...
    8 years ago
  • DJ Mwanga
    VIDEO | B Chedde – Dope | Watch/Download -
    8 years ago
  • MAKUBWA HAYA
    Mashabiki hawajui, kukaa kimya kwenye muziki sio kupotea kwenye muziki – Ommy Dimpoz - Muimbaji Ommy Dimpoz amesema ukimya wake kwenye muziki sio kwamba alipotea bali alikuwa anafanya mambo mengine nje ya muziki. Ommy Dimpoz amesema watanz...
    9 years ago
  • Demasho
    KARIBU ruvumahabari.blogspot.com kwa habari na matukio zaidi - *KARIBU ruvumahabari.blogspot.com kwa habari na matukio zaidi*
    9 years ago
  • TheChoice
    MAHARATA - Yes *MAHARATA *crack it hard
    9 years ago
  • AFFILIATES FOR AFRICA
    -
  • Mwanasheria Wetu
    -
  • New and Used Cars and trucks for sale hapa hapa Tanzania
    -
  • Jamtz
    -

FOLLOW OUR BLOG

Follow this blog

Search previous news

Dj Sek Blog

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

Analytics

 
 
Copyright (c) 2011 dj sek Designed by TMCL