skip to main |
skip to sidebar
TAZAMA PICHA 5 JINSI UWANJA MPYA WA LIVERPOOL UTAKAVYOKUWA
Anfield imekuwa ikisimamia kwenye watu 45,362, tofauti na viwanja
vikubwa kama Old Trafford na Emirates Stadium, ila baada ya marekebisho
uwanja mpya utaweza kupokea watu 58,800 kitu kitakachofanya uwe na namba
3 kwa ukubwa kwenye viwanja vya Premier League ukiwa umepitwa kidogo na
uwanja wa Arsenal.
Liverpool wakiweza kukamilisha mipango yao na kupata kibali basi kazi
itaanza mwanzo wa mwaka 2015, na mabadiliko ya Anfield yataonekana kwa
mara ya kwanza mwanzo wa mwaka 2016 au kwenye msimu wa ligi wa mwaka
2017.
No comments:
Post a Comment