Wachezaji
wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Azam FC ya Chamazi Dar es Salaam
wakishangilia baada ya kuweka historia ya kutwaa Ubingwa wa Soka
Tanzania 2013-2014. Ubingwa huo ulikuwa unashikiliwa na Yanga
iliyoambulia nafasi ya pili na jana ikitoka sare na Simba 1-1
Wachezaji wa Timu ya Azam Fc Wakisherekea Kombe lao la Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Baada ya Kukabidhiwa jana katika Uwanja wa Azam Compex Leo wakiwa na Mwenyekiti wao
No comments:
Post a Comment