Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, April 20, 2014

PICHA ZA KIPUTE CHA YANGA NA SIMBA JANA NA HAKUNA MBABE

Akiwa mbele kuwaongoza wachezaji wenzake katika kushangilia bao lake la kusawazisha ni Saimon Msuva



mshambuliaji wa Yanga Kavumbagu akiwatoka mabeki wa Simba


Akitafuta mbinu sahihi za kuwatoka mabeki wa simba ni mfungaji wa bao safi la kusawazisha la Yanga Simon Msuva
Shabiki wa Yanga




Mchezaji wa Yanga Hamisi Kiiza "Diego" akiruka daluga la beki wa Simba Chollo


No comments:

Post a Comment