Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, April 30, 2014

TAZAMA PICHA ZA UKAWA WALIVYOFANYA MKUTANO LEO ZANZIBAR VIWANJA VYA KIBANDAMAITI


WAKAZI WA KUTOKA KISIWA CHA TUMBATU WALIFIKA KWENYE UKAWA NA MABANGO YAOKIWANJA CHA KIBANDA MAITI

MUASISI MZEE NASORO MOYOALIFIKA KWENYE UKAWA
MAKAMU WA KWANZA WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF HAMADI AKIKUMBATIANA KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROD SLAA KULIA KATIBU MKUU WA NCCRMAGEUZI MUSONA

MAKAMU WA KWANZA ZANZIBAR SHARIFF HAMAD AKISALIMIANA NA KATIBU MKUU CHADEMA DR  SLAA

KATUIBU MKUU WA CUF MAALIM SEFU HAMADI AKIWASALIMIA WANANCHI
WANANCHI WAKISHANGILA

WANANCHI WAKIWA KATIKA MKUTANO WA UKAAWA

WENYEVITI WA UKAWA  JAMES MBATIA NCCR MAGEUZI KUSHOTO PROFES IBRAHIM LIPUMBA CUF KATIKATI NA KULIA NI MWENYEKITI FREEMAN MBOWE CHADEMA WAKIWASALIMIA WANANCHI

ASKARI  WA KIKOSZI CHA FFU AKIWA KATIKA ULINZI

WANANCHI WAKIWA NA MABANGO YENYE UJUMBE WA KUONYESHA SERIKALI TAU

EMMANUEL MAKAID AKIWA ANASALIMIANA NA MZEE NASORO MOYO MUASISI

WANANCHI WAKIWA MABANGO YAO 



Ule mkutano wa Umoja wa katiba ya wananchi umefanyika  leo kwa upande wa zanzibar.



Awali mchugaji Msigwa na Lissu wakiwa kwenye boat kuelekea Zanzibar


ilivyokuwa kibanda maiti
HALI HALISI YA MKUTANO ULIVYOKUWA




Watu ni wengi sanaaaaaaa
Prof. Abdul Sheriff kutokea kundi la 201 ambaye amesema wazi kuwa wahuni wa kuhujumu hawatafanikiwa mbele ya UKAWA.
Katibu wa Shura ya Maimamu na Taasisi za Kiislamu amesema taasisi zote za Kiislamu zinaunga mkono Shirikisho la Serikali Tatu na kwamba walitoa maoni yao mbele ya tume na wanaungana na UKAWA kulidai hilo. Hakuna atakayeweza kuhimili vishindo vya UKAWA na wapenda haki na matumaini kwa ajili ya amani ya kweli nchini kwetu, Tanzania.
Ameishambulia Serikali na CCM kwa uchochezi wa kidini, kuwachonganisha Watanzania, kutokana na kauli ya uchochezi iliyotolewa na Waziri wa Serikali ya CCM, aitwae William Lukuvi tena kanisani akiwasema waislamu. Amehoji je mashehe nao wakifanya hivyo, nchi itatawalika?
Ametoa rai kwa viongozi wa UKAWA kuimarisha UKAWA na kuhakikisha kuwa UKAWA haufi.

MWANANCHI HUYU AKIONYESHA PICHA ALIYOIWEKA MGONGONI KWA YA RAIS MSTAAF WA ZANZIBAR NAYE ANATAKA TATU  

No comments:

Post a Comment