Wauzaji wa mbogamboga na matunda katika maeneo yanayo zunguka soko kuu la kariakoo maalufu kama wachuuzi wengi wao wamekuwa hawazingatii suala zima la afya ya mlaji,jambo la kushangaza mamlaka husika zipo lakini hawachukui hatua juu ya jambo hili.( Picha na Hudugu Ng'amilo.)
Rais Dkt. Samia awasili Jijini Moscow nchini Urusi kwa ajili ya Ziara ya
Kitaifa.
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa
amesimama wakati akipokea heshima ya wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili
...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment