TAZAMA PICHA ZA DIAMOND, MAFIKIZOLO, DAVIDO,TIWA SAVAGE NA FALLY IPUPA KWENYE BET-PRE AWARDS VIP PARTY
Diamond Platinumz anaiwakilisha Tanzania kwenye tuzo za BET zitakazofanyika huko Los Angeles, Marekani
Jana
Diamond akiwa na wasanii wenzake wanaowania tuzo katika kipengele cha
International Act (Africa) walihudhuria party ya utangulizi (BET Pre
Awards VIP Party).
Fally
Ipupa aliungana na wasanii wanaowania kipengele kimoja na Diamond ambao
ni Davido, Mafikizolo na Tiwa Savage na Sarkodie (hayupo kwenye picha
hizi).
Michezo : New King Imeichapa Malindi Bao 2-1
-
Mchezaji wa Timu ya Malindi akimiliki mpira akijiandaa kumpita beki wa Timu
ya New King, katika mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2-25 /2026 mchezo
uliyo...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment