Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, May 30, 2014

BREAKING NEWSSS::::WA UPINZANI WASUSA NA KUTOKA BUNGENI MDA HUU

Wabunge wa upinzani wametoka Bungeni mda Huu wakigoma kujadili na kupitisha Bajeti ya wizara ya madini na Nishati wakidai kwamba hataki kuusika kwa kitachotokea.Msuguano ulitokea pale ambapo kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe kusimama na kusema kwamba hii wizara inabidi igawanywe na kuwa mbili pia mda wa siku moja hautoshi kuijadili wizara hiyo hivyo wao hawaoni sababu ya kukaa na kuijadili.

No comments:

Post a Comment