Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, May 9, 2014

Canada wakaribisha MASHINE ya BANGI Kush Vending Machine Tazama Picha

20140508-135725.jpg
Mashine ya kwanza ya kutengenezea ‘Bangi’ imefungwa rasmi katika ‘DISPENSARY’ inayojulikana kama ‘BC PAIN SOCIETY’ ambayo inasemekana inatoa bangi za aina mbali mbali kama  “Purple Kush, Bubba Kush, Sativa and Indica Strains of Medical Marijuana”.
Video ambayo imewekwa kwenye mtandao wa Youtube inaonyesha kuwa mashine kama hiyo imewekwa katika dispensary nyingine huko mjini COLORADO mwezi uliopita ambayo haiwezi kumtambua mtu yoyote anaenunua ila unachotakiwa ni kuweka pesa inayotakiwa na kujichagulia flava yako unayotaka kwa burudani yako.

‘Chuck Varabioff of the BC Pain Society’ aliwambia ‘Canada’s Global News’ kuwa  utambuaji wa watt hao itakuwa inachukuliwa na wafanyakazi hao na kuweka safe bila tatizo lolote. hii ni katakana na ‘Bangi’ kuonyesha kusaidia kea kiasi kikubwa kea watt ambao wanaumwa na magonjwa yanayofabishwa na maumivu makali sana. maendeleo ya ununuaji wa bidhaa hiyo umeripotiwa kuwa unaendelea vizuri sana na wanunuzi wamekua wakiongezeka siku baada ya siku.
“Our regular members, they already know what they want, they can walk up straight up to the vending machine and get in and out quickly,” Varabioff told Global News

No comments:

Post a Comment