Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, May 9, 2014

FILAMU MPYA YA ZENA NA BETINA KUTOKA TAR 29 MWEZI WA 5 2014,KAA MKAO WA KUVUNJA MBAVU NA KUFURAHI


salma jabu nisha awaambia mashabiki wake wapunguze mzuka kwan zena na betina haijatoka wanawasumbua wenye maduka kuiulizia mapema mno wasubiri mpaka tarehe 29 mwezi wa 5 wawe wapole sms ni nyingi sana kutoka mikoani,Ameongeza pia pindi tu itakapokuwa imetoka itasambazwa kwa haraka ili iweze kuwafikia watu wote kwa wakati.

No comments:

Post a Comment