Kwa nguvu ya teknolojia, mashabiki wa muziki waliohudhuria tuzo za muziki za Billboard Jumapili iliyopita (May 18) huko Las Vegas, Marekani walipata nafasi ya kushuhudia live show ya kipenzi cha dunia hayati Michael Jackson ambaye pamoja na kuwa hayuko hai lakini alitumbuiza jukwaani kwa mfumo wa hologram.
Barani Afrika teknolojia hiyo iliwahi kutumika kwa mara ya kwanza
mwaka jana nchini Afrika Kusini, ambapo Hayati Brenda Fassie
alitumbuiza kwa njia hiyo katika ‘Hansa Pilsner Festival Legends’ mwezi
march 2013 huko Johannesburg.
Kufahamu zaidi kuhusu teknolojia ya hologram ingia hapa
No comments:
Post a Comment