Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, May 1, 2014

NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA KUTOONEKANA, KIKOSI CHA ANGA KILICHO SHIRIKI KUITAFUTA CHASITISHA KAZI

Kikosi cha anga kilichoshiriki kutafuta Ndege ya Malaysia iliyopotea kimesitisha rasmi zoezi hilo ghali kuwahi kufanyika duniani bila ya kupata mafanikio yoyote.

Wanaanga hao walikusanyika na kupiga picha ya pamoja katika uwanja wa jeshi wa Pearce nchini Australia hapo jana.
Hata hivyo zoezi la kuitafuta ndege hiyo chini ya bahari litaendelea kufanywa Kusini mwa bahari ya Hindi ambako inasadikiwa ndege hiyo MH370 ikiwa na abiria 239 ilitumbukia na kupotelea baharini, Machi 8, mwaka huu.

No comments:

Post a Comment