Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, May 6, 2014

Picha, Haya Magari Tisa Ya Kifahari Anamiliki Bondia Floyd Mayweather


Picha, Haya Magari Tisa Ya Kifahari Anamiliki Bondia Floyd Mayweather

 Ukiwa mtaani ukamuuliza mtu bondia bora duniani unayemkubali ni nani ? lazima atatajwa Muhammad Ali au Mike Tyson, ila kwa kizazi hichi kwa sasa ni Floyd Mayweather.  Ameshinda mabambano mengi ya uzito na division tofauti duniani na mwaka 2013 alitajwa mwiongoni  mwa wanamichezo wanaotengeneza pesa nyingi zaidi kwa kuingiza dola za Kimarekani milioni 147 kwa mwaka.
Kampuni inayofuatilia magari na wamiliki wake wamepiga picha za magari anayomiliki Floyd Mayweather ikiwemo ya mwaka 1996 Mercedes-Benz S600,
Kutokea kushoto hio ni Rolls Royces na Bentleys, Bugatti Veyron yenye thamani ya dola milioni moja, Ferrari 458 Spyder, Lamborghini Aventador, Ferrari 599 na kwa mbele ni S600.CHANZO SAM MISSAGO
f 2f 1 f 3

No comments:

Post a Comment