Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, May 6, 2014

PICHA ZA MSIBA WA BABA WA MBUNGE FILIKUNJOMBE NYUMBANI KWAKE IRINGA

Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe katika maombolezo.
Askari polisi wakitoa nyumbani kwa mbunge Filikunjombe mjini Ludewa leo kuungana na wananchi kuomboleza.


Rafiki mkubwa wa mbunge Filikunjombe Bw Tonny kutoa Marekani kulia akiwa na wanafunzi wasomi wa elimu ya juu katika msiba kutoka kushoto Basilius Kayombo na Stanley Mkolwe ambao wanawakilisha umoja wa wana Ludewa wanaosoma vyuo vikuu ambapo Mbunge Filikunjombe ni mlezi wao.
Mbunge Filikunjombe kushoto akiwa na rafiki yake wakipata msosi.
Wananchi wa Ludewa wakimiminika nyumbani kwa mbunge Filikunjombe kushiriki maombolezo.

 
Msemaji upande wa Familia ya Filikunjombe mwalimu Dominic Haule akitambulisha msafara.
Rafiki mkubwa wa Filikunjombe mbunge wa jimbo la Mwibara Kang Lugola akisalimia.

No comments:

Post a Comment