Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, May 17, 2014

RAIS KIKWETE ONGOZA MAZISHI YA PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU AZIKWA LEO JIJINI DAR



Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salva Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Private Brian Salva Rweyemamuwakati wa mazishi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya Rais Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Isabella wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao Private Brian Salva Rweyemamu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
Dada wa Marehemu Private Brian Salva Rweyemamu wakiweka shada la maua wakati wa mazishi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment