Hizo ni baadhi ya picha za kikao cha pamoja cha mashauriano baina ya Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dk. Amani Karume, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, na Wajumbe wa Kamati ya Maridhiano wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Mhe. Hassan Nassor Moyo akiwa na Mansoor Yussuf Himid, Mohamed Ahmed Al-Mugheiry (Eddy Riyami), Salim Bimani na Ismail Jussa. Mjumbe mwengine Mhe. Abubakar Khamis hakuweza kuhudhuria kutokana na dharura. Mazungumzo hayo yalifanyika siku ya Jumatano, tarehe 30 Aprili, 2014 nyumbani kwa Dr. Karume huko Mbweni, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
DK.MIGIRO ATOA MWITO KWA WABUNGE,MAWAZIRI KUSHIRIKI VIKAO VINAVYOITISHWA NA
MABALOZI WA MASHINA ,MATAWI
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi( CCM) Dk.Asha-Rose Migiro ametoa mwito
kwa viongozi wa ngazi mbalimbali wakiwemo Wabunge n...
9 hours ago



No comments:
Post a Comment