Sehemu ya headlines za karibuni za kocha wa Chelsea Jose Mourinho ni pamoja na mbinu yake ya kujaza wachezaji golini ambayo imepewa umaarufu wa ‘basi la Mourinho’Baada ya kulaumiwa na baadhi ya makocha wenzake pamoja na wachambuzi wa soka, watu hawajalala na badala yake wamekua wakitengeneza katuni au mabango ya staili ya basi inayotumiwa na kocha huyu.
Benki ya Stanbic Tanzania yatoa msaada hospitali ya Rufaa ya Mawenzi mkoani
Kilimanjaro.
-
*Ni sehemu ya mpango endelevu wa kusaidia jamii kwa kuchangia uboreshaji wa
sekta ya Afya.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Nurdin Babu (katikati) akipok...
45 minutes ago
No comments:
Post a Comment