Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, May 2, 2014

Tuzo za muziki za Tanzania, KTMA 2014 zitarushwa live kwenye vituo vitatu vya runinga nchini

kavisheTuzo za muziki za Tanzania, KTMA 2014 zitarushwa live kwenye vituo vitatu vya runinga nchini.
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, George Kavishe amevitaja vituo hivyo kuwa ni pamoja na Clouds TV, EATV na Star TV.
Ugawaji wa tuzo za hizo utafanyika Jumamosi hii kuanza saa tatu usiku kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment