Waziri wa Ujenzi, John Magufuli akisoma bajeti ya Wizara hiyo bungeni mjini Dodoma . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kutoka bunge la Uganda , Ssentongo Theopista Nabulya (kushoto) na Dr. Chris Baryomunsi, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi akisalimiana na ujumbe wa wabunge kutoka Bunge la Uganda, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma . Kutoka kushoto ni Ssentongo Theopista Nabulya, Mchambuzi wa Masuala ya Sera wa Bunge la Uganda (Policy Anallyst , Parliament of Uganda) na Dr. Chris Baryomunsi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment