Balozi Mdogo wa China Zanzibar Kie Yunliang (watatu kushoto) akitoa maelezo kwa baadhi ya viongozi wa Wizara ya Afya waliongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Jidawi kabla ya utiaji saini makubaliano ya ujengwaji wa ICU mpya ya kisasa itayojengwa Hospitali Kuu ya Mnazi mmoja.
Balozi Mdogo wa China Zanzibar Kie Yunliang (wakwanza kushoto) akishuhudia utiaji saini makubaliano ya ujenzi wa ICU, kulia Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Jidawi na wakatikati ni Meneja miradi wa kampuni ya Beijing Construction Engineering Mr. Qi Xin ambayo ndiyo itakayojenga hafla hiyo imefanyika Wizara ya Afya.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Jidawi wa kwanza (kulia) na Meneja miradi wa kampuni ya Beijing Construction Engineering Mr. Qi Xin (wakushoto) wakibadilishana hati ya makubaliano ya ujengwaji wa ICU mpya katika Hospitali Kuu ya Mnazi mmoja itayogharim dola za kimarekani milioni moja na laki moja ambazo dola mia nane na hamsini ni zavifaa.
(Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar).
No comments:
Post a Comment