Mwendesha pikipiki na abiria (majina hayakutambulika) wakiwa wamelala chini katika barabara ya Chalinze Segera karibu na Kabuku baada ya kugongwa na gari ndogo yenye usajili namba T818 BNS Jana mchana. Mpiga picha wa tukio hili alienda kutoa taarifa ya ajali kiTuo cha polisi cha Kabuku ambapo Polisi walienda kutoa msaada wa kukimbiza majeruhi hospitali pamoja na kupima ajali. (Picha kwa hisani ya Rodney Thadeus)
KAPINGA, LONDO WAANZA SAFARI YA KUIMARISHA SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA
-
*Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Judith Kapinga , ameongoza watumishi wa
Wizara hiyo kumpokea Naibu Waziri mpya, Mhe. Denis Londo huku akisisitiza ...
17 minutes ago

poleni sana mungu awape nguvu na awaponye haraka
ReplyDelete