Mwendesha pikipiki na abiria (majina hayakutambulika) wakiwa wamelala chini katika barabara ya Chalinze Segera karibu na Kabuku baada ya kugongwa na gari ndogo yenye usajili namba T818 BNS Jana mchana. Mpiga picha wa tukio hili alienda kutoa taarifa ya ajali kiTuo cha polisi cha Kabuku ambapo Polisi walienda kutoa msaada wa kukimbiza majeruhi hospitali pamoja na kupima ajali. (Picha kwa hisani ya Rodney Thadeus)
RAIS SAMIA KUKABIDHI ZAWADI KWA WALIPAKODI BORA 1228 JANUARI, 23.2025
-
Jumla ya Walipakodi 1228 kutoka kona zote za Tanzania, wanatarajia
kukabidhiwa zawadi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk.
Samia Suluhu H...
1 hour ago
poleni sana mungu awape nguvu na awaponye haraka
ReplyDelete