Wemasepetu ... Hope you all
well... If y'all must know mimi ni mtu ambaye huwa nasomaga sana comments....
Na kama nimekosa kusoma comment yako ujue ni kwamba zinakuwa nyingi mno na
nashindwa soma zote.... Ni kwa muda mrefu sana mnaniona nakaa tu kimya na
sisemi chochote khs my friendship life... But mimi binafsi na muhusika ndo
tunajua... saa nyingine
mnaongea hadi nakereka but nakaa kimya... Nilitaka tu kusema
mimi sina kinyongo na mtu... na kama kuisha mbona yalishaisha...Au ndo mlikuwa
mnataka kuona bega kwa bega...? In my life siwekagi vinyongo... nyi wenyewe
mnajua... So jus so u want to know hayo yalishapita na maisha yanaendelea... ni
hayo tu... Have a good day everebadi...��������...
But chakushangaza Mlimbwende huyo wa Tanzania wa mwaka 2006
hakuweza kuweka picha ya shostito wake huyo kwenye hiyo post badala yake
akaweka picha ya Shostito wake wa sasa Aunty Ezekiel ndio aliepamba post hiyo.
Mmmmh je hapo unalionaje hilo? mdau.CHANZO SWAHILITZA.COM
No comments:
Post a Comment