Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, June 5, 2014

HIKI NDO KIATU CHA MKE WA REGINALD MENGI K-LYNN ALICHO NUNUA ZAIDI YA TSH MILIONI TATU NA NUSU




Leo katika pitapita kwenye kurasa za WAREMBO huko INSTAGRAM...nimekutana na hichi kiatu cha mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-LYINN..kiudaku



udaku nikaona ngoja ni GUGO bei ya hiki kiatu....Duh kucheki bei yake nikachoka mwenyewe...ni zaidi ya

gari aina ya VITZ (USED lakini..hizi ndio wabongo wengi tunazimudu)....Hehehe sio ishu yote maisha...ni zaidi ya shilingi Milioni Tatu na Nusu (ONLINE) na hapo bado haujaletewa...Kumbuka hiki nikiatu tu, bado gauni, pochi...nywele....nk...Dah huyu si anatembea na M-KUMI kabisa.... Jionee mwenyewe hapa

Kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM alikuwa ameweka picha hii:


No comments:

Post a Comment