Kaimu kamanda wa Polisi Mtwara Maisha Maganga ameongea na na
kusema ‘ukiliangalia ni bomu ambalo ni la muda mrefu nadhani ni kipindi kile
cha vita ya Msumbiji, tulilipeleka porini likalipuliwa na ulipuaji wake haukuwa
na madhara… na sio kwamba ni bomu tunaweza kusema limeletwa ama imekuaje, ni
bomu la muda mrefu tu’
WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA NA TPSF ZAFANYA KIKAO CHA MAJADILIANO
-
*Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara imekutana na kufanya
mazungumzo na Uongozi wa Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)
Januari 22,2...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment