Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, June 11, 2014

KIGOGO MWENYE V8 AMKOMALIA MLEMAVU ANAEENDESHA BAJAJI AMLIPE 20,000 BAADA YA KUGONGA GARI LAKE



Fundi akiangalia sehemu ya gari lililogongwa.




Bajaj iliyogonga gari



Dereva wa Bajaj akiondoka baada ya kumalizika kwa tatizo hilo.

KAMERA yetu  imenasa Bajaj iliyokuwa ikiendeshwa na mlemavu ambapo iligonga gari kubwa wakati inarudi nyuma maeneo  ya Posta mtaa wa Samora jijini Dar ambapo mwenye gari alitaka alipwe  20,000/= kwa matengenezo ya gari lake.
Kwa vile mlemavu hakuwa na fedha hiyo, wasamaria wema walimchangia na kulimaliza suala hilo.
 CREDIT:GPL 



No comments:

Post a Comment