Wazee wa mgomo: WacheZaji wa Cameroon wakiwasilu kwa ndege
eneo la Galeao Aerial Base mjini Rio, tayari kushiriki Kombe la Dunia baada ya
kusitisha mgomo wao wa madai ya posho uliowafanya wachelewe kuondoka nchini
kwao jana.
Alex Song akishuka kwenye pipa
Samuel Etoo naye huyooo akikanyaga Ardhi ya Brazil
No comments:
Post a Comment