Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, June 21, 2014

Maandalizi ya Mwisho Kili Tour Iringa,Usikose Mkazi wa Iringa

 Wakazi wa Iringa wanatarajia kushuhudia wanamuziki zaidi ya 10 wakipanda jukwaani katika Kilimanjaro Music Tour 2014 ambayo itafanyika uwanja wa Samora. Kuelekea show hiyo maandalizi ya mwisho yameendelea ambapo majukwaa ndani ya uwanja na mabanda yalikuwa yakijengwa.
Hizi ni baadhi ya picha toka uwanja wa Samora.
 Muonekano wa geti la kuingilia uwanja wa Samora
 Muonekano wa jukwaa toka kwa pembeni ya uwanja
 Muonekano wa jukwaa kwa upande wa nyuma ya jukwaa
 Ufungaji wa taa za juu ya jukwaa
 Eneo litakalotumika kwa ajili ya kugawa Kilimanjaro Premium Lager ya bure kwa mashabiki watakaojitokeza



 Nyamachoma na Vyakula vingine vikiandaliwa
 Bia za Kili zikiendelea kushushwa uwanjani
 AY na DJ Mafuvu wakifanya majaribio ya sauti
 Sam Misago akimpiga picha Mwana FA wakati wa majaribio ya sauiti
Snura na Sam Misago

No comments:

Post a Comment