Makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao akipunga mkono wakati akiteremka katika ndege na kuwasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akivishwa shada la Mauwa baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao wakwanza kulia akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Zanzibar baada ya kuwasili,katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kulia akiwa pamoja na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao wakikagua gwaride rasmi lililotayarishwahapo katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.
-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao akiangalia ngoma ya Utamaduni (Msewe)baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Zanzibar.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao kushoto akiwa pamoja na Meneja wa Hoteli ya Lagemma,Andrew Cook wakwanza kulia walipowasili katika Hoteli hio huko Nungwi kaskazini Unguja kwa ajili ya Kikao Maalum.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kulia akiwa pamoja na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao wakikagua gwaride rasmi lililotayarishwahapo katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.
PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment