Huyu ni msanii anaekuja kwa kasi kwenye
tasnia ya filamu Tanzania Anaitwa Asfa
Omary kwa jina maarufu ni Neema wa twenty.Ni binti mdogo sana lakini anajituma
na anajua nini anachofanya katika kazi yake ya sanaa.Pia amekwisha cheza baadhi
ya Filamu kama jicho langu,mama ntilie,zena na betina ambazo pia
zimefanya Vizuri Sokoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment