Muimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka THT, Amini Mwinyimkuu
ameamua kufunga ndoa baada ya ile ishu aliyoifungua mwenyewe juu ya kumpa mimba
mke wa mtu pasipo kufahamu kuwa ni mali ya mwanaume mwenzake na baadae kuanza
pata vitisho toka kwa mume wa mwanadada aliyebeba mimba hiyo.
Amini amefunga ndoa hiyo jana June 22 na msanii Farida
Bashir maarufu kama Nancy Vana aliyeimba ‘Kantangaze’.PICHA ZAIDI ZITAKUJIA HAPA HAPA
No comments:
Post a Comment