JUU: Caroline Okumu, dada wa marehemu akiwa uwanja wa ndege
na baadhi ya wanafamilia kabla ya kuanza safari ya kuelekea Kenya
Benson Okumu, mdogo wa Marehemu akiwa na mtoto wa marehemu
Sonia wakiwa uwanja wa ndege kabla ya kuanza safari ya kuelekea Kenya.
Gladys Okumu mama yake marehemu George Tyson akiwa na dada
yake baada ya mwili wa Marehemu kuwasili katika uwanja wa ndege wa Jomo
Kenyatta Intenational Airport, Nairobi.
Ndugu jamaa na marafiki wakisubiri kuwasili kwa mwili wa
marehemu JKIA





No comments:
Post a Comment