Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, June 8, 2014

PICHA 5 KINACHOENDELEA NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE SMALL



Waombolezaji wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small' aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa jijini Dar es Salaam.



Dada ya marehemu Mzee Small, Sauda Ngamba akiwa na majonzi baada ya kuondokewa na kaka yake.…


 Waombolezaji wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small
Sauda akilia kwa uchungu



(PICHA NA SHANI RAMADHAN, GLADNESS MALLYA NA GABRIEL NG'OSHA)

No comments:

Post a Comment