Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa (kulia)
na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe baada
ya kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario..
Rostam Azizi atunukiwa tuzo ya juu ya heshima ya TNCC
-
*Mwenyekiti wa Taifa Group na mfanyabiashara mashuhuri, Bw. Rostam Azizi,
ametunukiwa Tuzo ya Juu ya Heshima ya Chemba ya Taifa ya Biashara Tanzania
(TNC...
2 hours ago


No comments:
Post a Comment