Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na
Mjumbe Maalumu wa Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini ambaye pia ni Waziri wa
Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mama Maite Nkoana-Mashabane Ikulu jijini Dar es
salaam leo Mei 6, 2014, Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe
Bernad Membe alikuwepo pia. PICHA NA IKULU
NAIBU WAZIRI KIHENZILE ATEMBELEA BANDA LA TCAA MKUTANO WA 18 WA PAMOJA WA
MAPITIO YA SEKTA YA USAFIRISHAJI
-
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, Disemba 15, 2025
ametembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) katika
Mkutano wa 18 wa...
8 hours ago



No comments:
Post a Comment