Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana
Ludovick Utouh akikmabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa
kutambua mchango wange kwa taasisi simamizi katika kuimarisha Uwazi,Uadilifu na
uwajibikaji wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni iliyofanyika katika
ukumbi wa wa kimataifa wa mikutano Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es
Salaam leo jioni.
Bwana Utouh alikabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya taasisi sita
ambazo niBodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi,TAKUKURU,Mamlaka ya Udhibiti na
Ununuzi wa Umma,Mamlaka ya udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya jamii,Mkaguzi wa
ndani Mkuu wa Serikali,na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa umma (picha na
Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment