Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na makamu wa Rais
Dkt.Mohamed Gharib Bilal muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea Toronto Canada ambapo yeye na
mwenyeji wake waziri Mkuu wa Canada Stephen Harper waliongoza mkutano wa
kimataifa uliohusu kuboresha afya ya wanawake na watoto na kupunguza vifo vya
wanawake wanapojifungua.(picha na Freddy Maro)
Changamoto ya Kulea watoto wa Kiume hasa wakifika miaka 12
-
*Na Pastor Harris Kapiga.*
*Uzao Dei;*
*Changamoto ya KULEA watoto wa KIUME hasa wakifika miaka 12;*
*1. Baba kuwa mnoko sana ni jambo la kawaida*
*2. U...
7 minutes ago


No comments:
Post a Comment