Diamond Platnumz akifanya mavituzz ukumbini na wacheza show wake wakiwa wanaendeleza manjonjo
Waaaawwwoohh..ni umati haswaaa..kweli Diamond anapedwa
Diamond Platnuz kijana mdogo mwenye mafanikio katika mziki na kimaisha akiimba wimbo wa nimpende nani
V.I.P.
table ilijumlishwa na viongozi mbalimbali,pichani ni mke wa Mh: wa
Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi bwana Kamala aliyevalia nguo ya
mizungo miyeusi na miyeupe
Hapo sasa..Diamond Plutnumz akiendelea kukonga nyoyo za waliofika kumshughudia show yake
Sema naeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..!! warembo toka Tz wakishangilia show ya Diamond ikiendelea.
OOOooyoooooooooooh
Ooooooiiihhh!!! Ni peace n' Love toka kwa watoto wa nyumbani
Umati wa watu wakiendelea kupata burudani ya muziki toka kwa msanii Diamond Platnumz
Ngololo
aai ngololo mama ngololo...... and show me how they do ngololo ngololo
ni Saidi Biboze na dada yake Zuhra Biboze wakijiachia kwa raha zao.
No comments:
Post a Comment