Difenda iliyobeba watuhumiwa wa kesi ya mtoto wa boksi,
Nasra Rashid ikiwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro.
Baba mlezi wa mtoto Nasra, Mtonga Omari akishuka kwenye gari
la polisi kwa staili ya kuruka.
Bi. Mariam Said ambaye ni mama mkubwa wa Nasra, akishuka
kwenye gari hilo.BOFYA HAPO CHINI KUONA WANAINCHI WAKIWAZOMEA WATUHUMIWA
Baadhi ya wananachi wakiwazomea watuhumiwa waliokuwa kwenye
gari hilo baada ya kesi yao kuhairishwa hadi Juni 12 mwaka huu.
Wananachi hao wakilifukuza gari lililobeba watuhumiwa
waliorejeswa polisi kwa mahojiano mapya baada ya mtoto Nasra kufariki dunia.
(Picha: Dunstan Shekidele -GPL/Morogoro)
No comments:
Post a Comment