Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, June 4, 2014

TAZAMA PICHA MAANDALIZI YA KUAGWA KWA MAREHEMU GEORGE TYSON KWENYE VIWANJA VYA LEADES CLUB

  Hapa ndipo jeneza lililobeba mwili wa Marehemu George Tyson litakapoka a kwa ajili ya kuagwa.(Picha na Pamoja Blog)
 Utaratibu huu umeandaliwa katika viwanja vya Leaders Club kwa lengo la kuwapa fursa wakazi wa jiji la Dar es Salaam  kupata nafasi za kuuwaga mwili huo kabla ya kusafirishwa.

 Meza kuu hii ikiwa ni maandalia ya kuuwaga mwili wa George Tyson aliyefariki dunia kwa ajali ya gari na anatarajiwa kusafirishwa leo kwenda Kenya kwa mazishi. 

Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi

No comments:

Post a Comment