Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, June 21, 2014

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA:::WATU ZAIDI YA 10 WAFARIKI DUNIA ENEO LA MAKONGO KWA AJALI YA COASTER

 Eneoo la tukio kama inavyoonekana kwa sasa
 Mwili wa mmoja ya Maiti za ajali hiyo ukiwa Kando ya Barabara
 Gari aina ya Coaster kama Inavyoonekana ikiwa imeharibika vibaya upande wa kulia mara baada ya ajali hiyo


 Maiti zikiwa ndani ya mtaro baada ya ajali
Magari mawili aina ya Coaster yanayosafirisha abiria kati ya Mwenge, Tegeta na Mbezi jiijini Dar, yamegongana na na kuua abiria wanaokadiriwa kufikia zaidi ya 10, ajali hiyo imetokea mchana huu eneo la Makongo. Mashahuda wa ajali hiyo wamesema kuwa uzembe uliofanywa na dereva wa daladala iliyokuwa ikitoka Tegeta ndiyo uliosababisha ajali hiyo, kwani alipita upande usiyo wake.

No comments:

Post a Comment