SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA DINI-DKT. MWIGULU
-
-Asema lengo ni kujenga Taifa lenye hofu ya Mungu, upendo, haki na
uwajibikaji
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 18, 2026 ameshiriki Ibada...
4 hours ago


Ningeomba serikali suala la ajira ilichunguze vzr sana,Maana imefikia hatua hat sehemu za za kufanyia mazoezi kwa vitendo katika idara zilizo chini ya serikali nafasi zinatolewa kwa misingi ya ninani na anafahamikaje.Vilevile serikali ichunguze na ajira za mabenki yaliyo chini yake,TRA na idara nyinginezo.Zimeoza kabisa kama huna ndg siku hizi tunasema refa hupati nafasi ya kazi hapa TZ.
ReplyDelete