TAKRIBANI watu 15 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wengi
wakijeruhiwa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka Mpwapwa
kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Pandambili,
Kongwa mkoani Dodoma leo. Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa
katika Hospitali ya Mkoa Dodoma huku wengine wakipelekwa Hospitali ya
Mpwapwa
Magazetini Leo Januari 17, 2025; Mauaji ya Kutisha
-
Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
2 hours ago





No comments:
Post a Comment