Chini ya ulinzi: Adebayo Akinfenwa akidhibitiwa na Nahodha
John Terry
MCHEZAJI kibonge zaidi duniani, Adebayo Akinfenwa, alicheza
soka ya kuvutia timu take AFC Wimbledon ikifungwa kwa tabu na mabao 3-2 Chelsea
jana.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32, hakufunga dhidi ya
timu hiyo ya Ligi Kuu England, lakini aliganya vitu babu kubwa.
Chelsea ilinusurika kulala, ikiwa nyuma hadi zikiwa zimebaki
dakika 16- kutokana na kazi nzuri ya 'mwili nyumba' au The Beast' Akinfenwa.
Mwili nyumba akipambana na wachezaji wa Chelsea
No comments:
Post a Comment