JUST IN:::GARI DOGO LATUMBUKIA MTARONI NJIAPANDA YA NERUKA MTONI KIJICHI.
Eneo la Neruka mtoni kijichi kumetokea na ajali mida hii baada ya gari dogo kuingia mtaroni kama inavyo onekana pichani. Chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika mpaka sasa.. tupo eneo la tukio tutawapa taarifa zaidi.
TBN yatoa Ufafanuzi Kuhusu Mkutano wa Ikulu
-
*Dar es Salaam.* Mtandao wa Wanablogu Tanzania (TBN) unapenda kutoa
ufafanuzi rasmi na kuweka mambo wazi kufuatia taarifa zisizo sahihi na
zinazoleta ...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment