Wakazi wa mjini Iringa leo wajitokeza kwa wingi kumzika
Halida Ng'anguli katika makaburi ya Makanyagio, ni yule aliyefariki siku ya
Iddi el fitri baada ya kuanguka chooni katika uwanja wa samora jana.Waislamu
nchini jana wameungana na waislamu wenzao duniani kuswali sala ya Iddi mkoani
Iringa lakini kwa bahati mbaya muumini mwenzao Halida Ng'anguli mkazi wa
Mwangata C ambaye ni shangazi wa manahabari wa gazeti la majira Iringa Zuhura
zuhkeri kufariki dunia baada ya masaa machache toka aanguke chooni uwanja wa
Samora.
Wakazi wa mjini Iringa leo wakiwa nyumbani kwa marehemu
Halida Ng'anguli Mwangata C. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
No comments:
Post a Comment