Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, July 23, 2014

MSANII WA FILAMU ANAYEKUJA KWA KASI AISHA BUI ATOA UKWELI WA MAISHA YAKE




 Aisha bui kusota kwenye sanaa kumempa akili nyingine ya kujiajili baada ya kusubili kuchezeshwa filamu aamua kucheza za kwake na sasa atoka kivingine na gabo zigamba katika filamu ya mshale wa kifo mashabiki wajiandae kuona hiyo filamu.Mashabiki wa Movie za kibongo tutoe sapoti kwa wakina dada kwa kununu kazi zao kwani wanalitangaza Taifa Letu


Hii ndio filamu yake mpya inayotoka mwezi wa nane 2014

No comments:

Post a Comment