Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 10, 2014

MZEE ONYANGO AENDELEA KUTOA VICHEKESHO VIKALI



Hatimaye Mzee Onyango aja na balaa lingine baada ya kuwavunja mbavu mashabiki wake kwa vituko vifupi sasa aja na kingine kinaitwa muziki wa bongo humo kafanya balaa kaa tayari kupata uhondo kupitia whatsapp no 0716026089 na youtube ya kabuti onyango

No comments:

Post a Comment