Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 10, 2014

RAIS KIKWETE AKIWA ZIARANI KILINDI MKOANI TANGA

D92A7313
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Pikipiki mmoja wa maafisa watendaji kata Wilaya ya Kilindi Bi.Elizabeth Mwita muda mfupi kabla ya Rais Kuhutubia Mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi jana.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoani Tanga.(Picha na Freddy Maro).
D92A7336
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe katibu wa TFF Wilaya ya Kilindi Bwana Omari Javu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songe Kilindi jana.Kombe hilo lijulikanalo kama Kikwete cup litashindaniwa katika ligi ya wilaya ambapo mshindi atakabidhiwa kombe hilo na zawadi nyinginezo


D92A7412
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi Mkoani Tanga .
D92A7507
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment