"Dada akutwa kalala kwenye kabati ya chips maeneo ya
Yombo Vituka leo asubuhi. Muuza chips alifunga kabati na kufunga eneo lake la
biashara kwa kufuli kisha akaenda kulala. Asubuhi alipofungua ndipo akamkuta
mwanadada amelala juu ya chips na mishkaki akiwa hajitambui. Bado haijajulikana
aliingiaje maana hakuweza kuongea baada ya kutolewa.!"
JAB yazindua mwongozo wa kisheria wa kuwatunuku waandishi wa habari
wakongwe ithibati ya maisha
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imezindua rasmi Mwongozo wa
Kisheria wa Utoaji wa Ithibati ya Maisha kwa Waandishi wa...
1 hour ago


Duuuh noma sana aisee
ReplyDelete